KIKAO CHA WADAU WA BODI ZA WADHAMINI
Kabidhi Wasii Mkuu Bw. Frank Kanyusi leo Septemba 23, 2024 Jijini Dodoma amefungua kikao kazi cha kuandaa sera ya uwajibikaji kwa jamii.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amekutana na viongozi wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini RITA.
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umeshiriki hafla ya kubadilishiana hati ya ushirikiano na Bodi ya Mikopo wa Elimu ya Juu (HESLB).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Chacha Maswi, leo Agosti 06, 2024 ametembelea banda la RITA katika maonesho ya wakulima nanenane na kukagua jinsi ya utoaji wa elimu na huduma kwa wananchi unavyoendelea.
Wananchi Jijini Dodoma leo Agosti 05, 2024 wameendelea kujitokeza na kupatiwa huduma katika banda la RITA kwenye maonesho ya Wakulima nanenane Jijini Dodoma.
TANAGZO KWA WAFUNGISHAJI NDOA