RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
August
06
2024
No title
News & Update
`


Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Chacha Maswi, leo Agosti 06, 2024 ametembelea banda la RITA katika maonesho ya wakulima nanenane na kukagua jinsi ya utoaji wa elimu na huduma kwa wananchi unavyoendelea.

Pia alizungumza na baadhi ya wananchi waliokuwa wakiendelea kupatiwa huduma ambao walieleza namna walivyoridhishwa na huduma nzuri inayotolewa.

Kupitia maonesho ya nanenane huduma ya vyeti vya kuzaliwa na vifo kupatikana ndani ya masaa 24 yaani siku moja baada ya kuomba kidijitali kupitia eRITA.

Tags : #Registration

View Full Page