Maombi yasiyokuwa na upungufu 2018
Serikali imedhamiria kuboresha Mfumo wa usajili wa vizazi, vifo na sababu zake, ndoa na talaka kupitia Mkakati wa kitaifa wa usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu na Takwimu unaojulikana kama ( National Civil Registration and Vital Statistics – CRVS ï¿
ASILIMIA 97 YA WATOTO WAPATIWA VYETI VYA KUZALIWA MKOA SHINYANGA
Mpaka sasa jumla ya watoto 479,146 wamesajiliwa na kupewa vyeti vya kuzaliwa ambapo kati ya hao watoto 230151 wamesajiliwa katika Mkoa wa Shinyanga ambao ni sawa na asilimia 71 ya lengo na Mkoa wa Geita 249,000 ambao ni asilimia 60 ya watoto wote wasio na
KUKANUSHA TAARIFA KUHUSU RITA KUSAJILI BODI MPYA YA WADHAMINI WA CHAMA CHA WANANCHI (CUF)
Msimamizi Mkuu wa Wadhamini (Kabidhi Wasii Mkuu) anatoa notisi ya siku thelathini (30), kuanzia tarehe ya tangazo hili, kwa wadhamini wa Taasisi/Asasi zote zilizosajiliwa katika Ofisi ya Kabidhi Wasii Mkuu (RITA) kutekeleza na kuzingatia yafuatayo:- 1
Mabadiliko ya ada za huduma ya Miunganisho ya Wadhamini