RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
February
06
2018
MABORESHO USAJILI WA VIFO
News Update
Dar es Salaam



`
Wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) unategemea kufanya maboresho ya usajili wa vifo mwanzoni mwa mwezi machi mwaka huu ili kuwezesha upatikanaji wa takwimu sahihi za vifo na sababu zake zitakazosaidia serikali na wadau mbalimbali kuchukua hatua za kukabiliana na sababu hizo.
View Full Page