RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
March
21
2024
MKUTANO MAWAKILI DODOMA
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa ameagiza Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kuongeza wigo wa utoaji elimu kuhusu kuandika na kuhifadhi wosia ili kuyafikia makundi mbalimbali katika jamii. Mhe. Majaliwa ametoa agizo hilo leo Machi 21, 2024 alipotembelea banda la RITA wakati wa Mkutano wa Chama cha Mawakili wa Serikali unaofanyika Jijini Dodoma.
View Full Page