RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
January
28
2018
WIKI YA SHERIA 2018
News Update
Dar es Salaam



`
Jaji Mkuu Frofesa Ibrahim Juma amewataka watumishi wa Mahakama na watoa haki kuwa na maadili mema na kutojihusisha na vitendo vya rushwa ili wananchi wawe na imani nao. RITA ni miongoni mwa taasisi zinazoshriki maonesho ya wiki ya sheria Katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam kwa kutoa elimu na msaada wa kisheria bure kuhusu kuandika na kuhifadhi Wosia pamoja na mambo ya Mirathi.
View Full Page