RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
September
12
2017
Lindi na Mtwara wapokea U5BRI
News Update
Dar es Salaam



`
Mkoa wa Lindi na Mtwara kwa pamoja inatarajiwa kutekeleza mpango wa usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa Watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano bila ya malipo mwishoni mwa mwezi huu wa Septemba 2017. Wakuu wa Mikoa hiyo walitoa maagizo kwa viongozi wa Wilaya na Halmashauri zote kufanya maandalizi ya kuupokea na kuusimamia mpango huo sambamba na kuanza kazi mara moja ya kutoa elimu kwa jamii kujitokeza kwa wingi pindi zoezi hilo litakapoanza kutekelezwa katika vituo vya tiba vinavyotoa huduma ya mama na mtoto pamoja na Ofisi za Watandaji
View Full Page