RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
August
23
2017
ZIARA YA MHE,WAZIRI WA KATIBA
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi amefanya ziara hii leo katika ofisi za RITA Makao Makuu Jijini Dar es salaam na kutembelea Idara na Vitengo mbalimbali pamoja na kujionea ufanisi na maboresho ya teknolojia ya TEHAMA katika utoaji wa huduma kwa Wananchi.
View Full Page