RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
March
01
2017
Usajili Wanafunzi Temeke
News Update
Dar es Salaam



`
Afisa Usajili Mwandamizi kutoka RITA Bw Henry Bitegeko akitoa ufafanuzi kuhusu Mpango wa usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Wanafunzi wa shule za Msingi Manispaa ya Temeke katika mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo Walimu watakaofanya usajili huo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es salaam, kulia kwake ni Afisa elimu Msingi Bi Silvian Ntasigwa Mwingine ni Afisa elimu Taaluma Bi Joyce Senkoro.
View Full Page