RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
July
11
2016
Mhe Waziri Dkt Mwakyembe
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Dkt Harrison Mwakyembe akipokea taarifa ya mrejesho wa uhakiki na ukaguzi wa Bodi za Wadhamini za Taasisi/Asasi kutoka Ofisi ya Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) iliyosomwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Bi Emmy Hudson wa kwanza kulia wakati wa kikao maalum na waandishi wa habari Makao Makuu Jijini Dare es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Sifuni Mchome. Kwa habari zaidi ingia ukurasa wa Habari na Makala.
View Full Page