RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
June
10
2016
KAMPENI YA USAJILI - CHATO
News Update
Dar es Salaam



`
Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe Shaaban Ntarambe akiwahutubia Wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa Kampeni maalum ya Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa hii leo katika viwanja vya Stendi ya zamani Wilayani humo, RITA inaendelea kutoa huduma ya usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa katika kampeni kama hizi Wilaya mbalimbali Tanzania Bara na sasa ni zao ya Wananchi wa Chato Mkoani Geita.
View Full Page