RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
April
21
2016
Baraza la Wafanyakazi 2016
News Update
Dar es Salaam



`
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof, Sifuni Mchome akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi katika ufunguzi wa kikao cha 17 kilichoanza leo Jijini Dar es salaam, Kulia kwake ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bi Emmy Hudson, na kushoto kwake ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Bw August Mbuya.
View Full Page