RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
April
01
2016
Kikao cha Kamati ya CRVS
News Update
Dar es Salaam



`
KAMATI YA KITAIFA YA URATIBU WA UTEKELEZAJI WA USAJILI WA MATUKIO MUHIMU KWA MWANADAMU YAKUTANA OFISI ZA RITA. =================================================== Wajumbe wa Kamati ya Uratibu wa Usajili wa Matukio Muhimu kwa Mwanandamu (CRVS) ambayo ni Vizazi, Vifo na sababu zake, Ndoa na Talaka imekutana hii leo jijini Dar es Salaam ili kufanya tathmini ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali za KAMATI. Kikao hicho cha siku moja kimefanyika katika Ukumbi wa mikutano wa RITA Makao Makuu na Kuhudhuriwa na Wajumbe kutoka Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali.
View Full Page