RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
November
28
2023
USAJILI WATOTO DAR ES SALAAM
News Update
Dar es Salaam



`
Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kuratibu na kusimamia kikamilifu utekelezaji wa zoezi la Usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa Watoto wa umri chini ya miaka mitano linalotarajiwa kuanza hivi karibuni Mkoani humo. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila wakati wa kikao cha viongozi wakuu wa Mkoa huo leo Novemba 28, 2023 kilichofanyika Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uwezo viongozi hao kuhusu utekelezaji wa zoezi la usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa watoto wote wa umri chini ya miaka mitano katika Mkoa huo.
View Full Page