RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
November
04
2023
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM
News Update
Dar es Salaam



`
Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini [RITA] unaendelea kutoa elimu kuhusu huduma zake, kupokea maoni na kutatua Kero za Wananchi kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ulioandaliwa kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za Wananchi katika Wilaya ya Kinondoni unaofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Packers Kawe. Tunaprnda kuchukua fursa hii kuwakaribisha wakazi wote wa Wilaya ya Kinondoni na Wilaya za Karibu kujitokeza kwa wingi kupata uuduma.
View Full Page