RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
October
03
2023
UZINDUZI U5BRI KIGOMA
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana leo octoba 03, 2023 amezindua rasmi Mpango wa Usajili na Kuwapatia Vyeti vya Kuzaliwa Watoto wa Umri Chini ya Miaka Mitano wa Mkoa wa Kigoma. Akizungumza na Wananchi wa Manispaa ya Kigoma katika uwanja wa Mwanga Community Centre Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana amewataka wazazi na walezi kujitokeza katika ofisi za watendaji kata na Vituo vya tiba vinavyotoa huduma ya mama na Mtoto ili waweze kuwapatia haki ya msingi watoto wao wenye umri huo waweze kusajiliwa na kupatiwa vyeti vya Kuzaliwa ambavyo vinatolewa bila ya malipo.
View Full Page