RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
September
18
2023
Mama Samia Legal Aid Simiyu
News Update
Dar es Salaam



`
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) leo septemba 18, 2023 umeshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya Mama Samia Legal Aid iliyofanyika Stendi ya zamani, Mkoani Simiyu. Akizindua Kampeni hiyo Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana aliwaasa wananchi kutumia kipindi hiki cha kampeni kupata huduma ya msaada wa kisheria (bure), kufahamu na kutetea haki zao za msingi.
View Full Page