RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
September
14
2023
WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana (Mb) leo ametembelea ofisi za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kukagua utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo ikiwa ni kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe hivi karibuni kuiongoza Wizara ya Katiba na Sheria. Katika ziara hiyo aliambatana na Naibu Waziri wa ya Katiba na Sheria Mhe. Pauline Gekul (Mb), Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo na viongozi wengine waandamizi wa Wizara hiyo. Amewapongeza RITA kwa mafanikio yaliyopatikana na kuwatakq kuendelea kuwa wabunifu zaidi ili kuongeza wigo wa upatikanaji wa huduma zao hasa katika maeneo ya vijijini
View Full Page