RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
June
18
2023
RITA AWAY DAY 2023
News Update
Dar es Salaam



`
Kabidhi Wasii Mkuu/ Afisa Mtendaji Mkuu Bw. Frank Kanyusi Frank na Naibu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Irene Joseph Lesulie leo Juni 18, 2023 amekutana na Wafanyakazi kutoka RITA Makao Makuu, Mikoa na Wilaya Mbalimbali Tanzania Bara kwa lengo la kuweka mikakati itakayowezesha kutekeleza majukumu ya Wakala. Kupitia kikao hicho, watumishi wamekumbushwa kufanya kazi kwa bidii na kusimamia haki kwa kufuata sheria na miongozo katika utumishi wa Umma ili kutoa huduma bora kwa wananchi.
View Full Page