RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
May
23
2023
Mama Samia Legal AID Manyara
News Update
Dar es Salaam



`
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini [RITA] Leo Mei 23, 2023 umeshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni Mama Samia Legal Aid Mkoani Manyara. Akizindua Kampeni hiyo, Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Pauline Philipo Gekul (mb) akimuakilisha Mgeni Rasmi Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewataka watanzania kuitumia kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kutoa taarifa kuhusu uwepo wa watu au vikundi vya watu vinavyojihusisha na ukatili wa kijinsia hususan kwa watoto.
View Full Page