RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
April
28
2023
Tuandike Wosia, Waziri Mkuu
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewataka wananchi kote nchini kuandika wosia kwani unaweka mazingira mazuri kwa unaowapenda na unasaidia kuepusha migogoro katika jamii na amesisitiza kwamba Wosia sio uchuro. Ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akizindua Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia.
View Full Page