RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
February
06
2023
Uzinduzi wa Bodi 2023
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema amepokea maelekezo kutoka kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba ifikapo mwaka 2025 kuhakikisha kila mtoto amesajiliwa na kupatiwa cheti cha kuzaliwa wakati na gharama nafuu huku watu wazima wakitakiwa kuwekewa mikakati ifikapo 2030 kila mwananchi awe na cheti cha kuzaliwa.
View Full Page