RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
December
21
2022
Baraza la Wafanyakazi kikao 26
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka watumishi wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kuacha uzembe, uvivu na wachape kazi Kwa bidii na ubunifu ili kuharakisha kasi ya utoaji wa huduma kwa Wananchi. ameyasema hayo leo Disemba 21, 2022 Jijini Arusha wakati akifungua kikao Cha 26 cha Baraza la Wafanyakazi RITA.
View Full Page