RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
September
29
2022
KIKAO CHA MAWAKILI WA SERIKALI
News Update
Dar es Salaam



`
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua rasmi kikao kazi cha mwaka na kuzindua Chama cha Mawakili wa Serikali leo tarehe 29 Septemba,2022 Jijini Dodoma. Mawakili kutoka RITA wameshiriki kikao hicho huku Wakala ukitoa huduma ya usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa, msaada wa kisheria kuhusu kuandika na kuhifadhi Wosia na Mirathi pamoja na elimu kwa umma kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na RITA.
View Full Page