RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
September
06
2022
Menejimenti RITA na Wizara
News Update
Dar es Salaam



`
Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Mizengo Pinda amewataka watumishi kuheshimu na kuzingatia Sheria za utumishi wa Umma sambamba na kuheshimiana kila mmoja wakati wa utekelezaji wa majukumu ya kila siku.hayo ameyasema tarehe 6 Septemba,2022 Jijini Arusha katika kikao kazi cha Wizara na Menejimenti ya RITA.
View Full Page