RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
July
18
2022
Mkutano na Wadau
News Update
Dar es Salaam



`
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini(RITA) utafanya utafiti Kwa lengo la kubaini kiini kinachosababisha kuwepo mwitikio mdogo katika kuandika wosia.
View Full Page