RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
June
20
2022
Hitimisho Mafunzo 2022
News Update
Dar es Salaam



`
Watumishi wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wanatakiwa kufahamu vipaombele vya Taasisi kupitia Mpango Mkakati wa Wakala ambao unabainisha mwelekeo wapi Taasisi ilikotoka, ilipo sasa na inapoelekea. Hayo yamesemwa na Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu Bi. Angela Anatory wakati wa kuhitimisha kikao na mafunzo ya siku mbili kwa Wafanyakazi yaliyofanyika tarehe 18-19 Juni,2022 katika ofisi za RITA Makao Makuu Jijini Dar es salaam.
View Full Page