RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
June
18
2022
Mkutano wa Wafanyakazi 2022
News Update
Dar es Salaam



`
Watumishi wa Umma wanao wajibu wa kuwahudumia wananchi kwa kutanguliza uzalendo, uadilifu na kufanya kazi kwa Kujituma ili kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi. Hayo yamesemwa na Kabidhi Wasii Mkuu na Mtendaji Mkuu wa RITA Bi. Angela Anatory wakati akifungua mkutano wa wafanyakazi ulioambatana na mafunzo maalum kuhusu kuzuia na kupambana na rushwa, Masuala ya jinsia, Magonjwa sugu yasiyoambukizwa pamoja na Upimaji wa VVU.
View Full Page