RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
June
04
2022
Ukaguzi wa usajili Tabora
News Update
Dar es Salaam



`
Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Angela Anatory ametembelea na kukagua vituo vya tiba vinavyotoa huduma ya mama na mtoto na Ofisi za Watendaji Kata ambapo zoezi la usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa linafanyika, pia amezungumza na Wananchi waliofika kupatiwa huduma katika vituo hivyo hii leo Mkoani Tabora.
View Full Page