RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
January
27
2022
ZIARA MHE.WAZIRI SIMBACHAWENE
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene hii leo Jijini Dar es salaam amefanya ziara katika ofisi za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) na kuridhishwa na maboresho yanayoendelea kufanyika katika utoaji wa huduma za usajili wa vizazi, vifo na bodi za Wadhamini kwa mfumo wa kielektoniki kupitia e-Huduma huku akiagiza kuharakishwa kwa mfumo utakaounganishwa na Mahakama ili kurahisisha kumaliza changamoto za kuchelewesha kushughulikia migogoro ya ndoa hususani talaka, mirathi pamoja na bodi za wadhamini kwa kusubiri taarifa za hukumu kutoka mahakamani kwa njia ya karatasi badala ya kielektroniki.
View Full Page