RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
January
24
2021
MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA
News Update
Dar es Salaam



`
Mhe. Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hasani leo tarehe 24/01/2021 katika Ufunguzi wa Maadhimisho ya kumbukumbu ya Miaka 100 ya mahakama Kuu Jijini Dodoma. RITA Kama Wadau wa Sheria Wameshiriki Katika Maadhimisho hayo ambayo yanaendelea Kitaifa jijini Dodoma Katika viwanja vya Nyerere Square na Dar Es salam kwenye viwanja Vya mnazi Mmoja ambapo kwa upande wa Dar es Salaam mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa mkoa, Bw. Abubakar Kunenge. Huduma zinazotolewa katika banda la RITA kwa upande wa Dodoma na Dar es Salaam ni ; Usajili wa vyeti vya kuzaliwa, Msaada wa kisheria kuhusu masuala ya Wosia na Mirathi pamoja na elimu kwa umma kuhusu Ndoa, Talaka, Udhamini na huduma ya Ufilisi.
View Full Page