RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
December
21
2020
MHE. WAZIRI ATEMBELEA RITA
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Naibu waziri Mhe. Geoffrey Mizengo Pinda wametembelea Ofisi za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kukagua na kujionea utekelezaji wa majukumu ya kila siku ya Taasisi hiyo kama sehemu ya mikakati yake ya kuzitembelea Taasisi zote zilizokuwa chini ya Wizara yake na kutatua changamoto mbalimbali zinazokwamisha utendaji wa Taasisi hizo
View Full Page