RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
September
20
2020
KAMPENI YA ONE STOP JAWABU
News Update
Dar es Salaam



`
Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Emmy Hudson hii leo ametembelea na kukagua zoezi la usajili na kuwapatia wananchi vyeti vya kuzaliwa kwenye kampeni ya one stop Jawabu inayotamatishwa katika viwanja vya Mbagala Zakhiem ambapo kesho kutwa tarehe 22 Septemba, 2020 kampeni hiyo itahamia katika viwanja vya Mwembe Yanga Manispaa ya Temeke Jijini Dar es salaam.
View Full Page