RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
August
30
2020
KAMPENI YA KUSAJILI WATOTO
News Update
Dar es Salaam



`
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Fadhil Juma amezindua kampeni ya kusajili na kutoa Vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wa umri kati ya miaka 6-17 katika Wilaya ya Geita. Uzinduzi huo ulifanyika katika mafunzo ya siku moja ya Waratibu Elimu Kata za Wilaya ya Geita yaliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Geita. Kupitia kampeni hii wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wasio na vyeti vya kuzaliwa watasajiliwa na kupata vyeti katika Shule wanazosoma
View Full Page