RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
August
04
2020
MAONESHO YA NANENANE
News Update
Dar es Salaam



`
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezitaka Taasisi za fedha nchini kutoa fursa za mikopo kwa wakulima, wafugaji na wavuvi ili kuongeza tija katika uzalishaji. Aliyasema hayo Agosti mosi katika ufunguzi wa maonesho ya nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.
View Full Page