RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
November
15
2019
RITA-POSTA MKATABA
News Update
Dar es Salaam



`
RITA na Shirika la Posta hii leo Jijini Dar es salaam wamesaini hati ya makubaliano ya huduma ya usafirishaji wa Mizigo (vitendea kazi) na nyaraka mbalimbali katika Ofisi za Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi na ofisi za watendeji wa Kata na hivyo kuhakikisha usalama na kuwezesha wananchi kupata huduma bora ya usajili wa vizazi, vifo, ndoa na talaka sambamba na ukusanyaji wa nyaraka hizo kwa ajili ya kuhifadhiwa katika ofisi za RITA Makao Makuu.
View Full Page