RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
September
26
2019
ZIARA UBALOZI WA MAREKANI
News Update
Dar es Salaam



`
Ujumbe kutoka Ubalozi wa Marekani kitengo kinachohusika na kutoa Viza (Consular Section) umetembelea ofisi za RITA hii leo Jijini Dar es salaam kwa lengo la kujifunza jinsi usajili wa vizazi vifo ndoa na talaka unavyofanyika kutokana na umuhimu na uhitaji wa nyaraka hizo wakati wa maombi ya Viza.Viza.
View Full Page