RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
March
21
2019
USAJILI WATOTO DODOMA SINGIDA
News Update
Dar es Salaam



`
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umefanikiwa kusajili Watoto milioni tatu na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa bila ya malipo kupitia Mpango wa usajili wa Watoto walio na umri chini ya miaka mitano unaoendelea kutekelezwa katika Mikoa kumi na mitatu Tanzania Bara. Hayo yamebainishwa hii leo Mkoani Singida wakati wa uzinduzi wa mpango huo kwa Mikoa miwili ya Dodoma na singida huku mgeni rasmi akiwa ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe, Balozi Dkt Augustine Mahiga.
View Full Page