RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
December
08
2018
TUZO TAARIFA BORA ZA KIFEDHA
News Update
Dar es Salaam



`
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umekabidhiwa tuzo kwa kuwa Taasisi katika kundi la Wakala bora ya Serikali ulioandaa na kuwasilisha taarifa za kifedha zenye kiwango cha Kitaifa na Kimataifa kwa mwaka 2017. Tuzo hizo zimekabidhiwa na Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt Ashantu Kijaji usiku wa leo Disemba 8, 2018 katika ukumbi wa APC Bunju Jijini Dar es Salaam.
View Full Page