RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
Notisi ya siku 30 inatolewa kuanzia leo ijumaa, Tarehe 29 Mei, 2020 ili kutoa nafasi ya kutekeleza maelekezo haya na watakaoshindwa watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria ikiwemo kufutwa kwa Taasisi /Asasi wanazozisimamia.