RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
May
29
2020
NOTISI KWA WADHAMINI WA TAASISI/ASASI NCHINI
Announcement
`

Notisi ya siku 30 inatolewa kuanzia leo  ijumaa, Tarehe 29 Mei, 2020 ili kutoa nafasi ya  kutekeleza maelekezo haya na watakaoshindwa watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria ikiwemo kufutwa kwa  Taasisi /Asasi wanazozisimamia.

File Size: Calculating...
View Full Page