RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
January
04
2025
RITA YASHIRIKI KAMPENI YA CHIMBO NA NMB MLIMANI CITY
- - -
`
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kuimarisha usimamizi wa Bodi za Wadhamini wa Taasisi kwa kuhakikisha zinatimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamebainishwa hii leo Januari 04, 2025 mkoani Morogoro na Kabidhi Wasii Mkuu Bw. Frank Kanyusi katika kikao na wadau mbalimbali na mamlaka za juu za bodi za Wadhamini.
Bw. Kanyusi amezitaka Bodi za Wadhamini zilizosajiliwa RITA kufanya marejesho ya kila mwaka kama sheria inavyoelekeza.
Pia, amesema kuwa, RITA imebaini kuna Taasisi hasa za kidini zimeanzishwa na zinatekeleza majukumu ikiwemo kumiliki mali na fedha bila ya kuwa na Bodi za Wadhamini.
"Natoa maagizo kwa taasisi hizo kufika RITA na kusajili Bodi za Wadhamini kwani hivi karibuni kikosi kazi kitapita na kufanya ukaguzi." Alisema Bw. Kanyusi.

Tags : #Trusteeship

View Full Page