RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
`
eRITA Huduma

Registration Insolvency and Trusteeship Agency (RITA), would like to inform the public that you can now apply for the following services online:

MFUMO WA USAJILI WA KUZALIWA NA KIFO
HUDUMA ZA USAJILI WA KUZALIWA NA KIFO

Huduma zinazopatikana kidigitali:

1 Cheti cha Kuzaliwa
2 Cheti cha kuzaliwa cha zamani kwenda kipya
3 Uhakiki wa cheti cha Kuzaliwa
4 Cheti cha Kifo
5 Cheti cha kifo cha zamani kwenda kipya
6 Uhakiki wa cheti cha Kifo
MFUMO WA USIMAMIZI WA NDOA NA TALAKA

Huduma zinazopatikana kidigitali:

1 Maombi ya leseni ya kufungisha ndoa
2 Maombi ya Shahada ya kufungisha ndoa
3 Kupata kibali cha kufunga ndoa ndani ya siku 7
4 Kupata cheti cha kutokuwa na kipingamizi cha ndoa
5 Kusajili ndoa inayodumu iliyokuwa haijasajiliwa
6 Kibali cha kufunga ndoa mahali maalum
7 Kusajili Ndoa
8 Kusajili ndoa iliyofungwa nje ya nchi
9 Kusajili Talaka
10 Kusajili Talaka iliyotolewa nje ya nchi
MFUMO WA USIMAMIZI WA WADHAMINI
HUDUMA ZA KUANZISHA WADHAMINI

The following are the services available online:

1 Miunganisho ya Wadhamini
2 Kutaarifu juu ya mabadiliko ya jina la chombo
3 Marejesho ya wadhamini
4 Taarifa za kubadili anuani
5 Kupata kibali cha kumiliki ardhi
6 Upekuzi wa taarifa za wadhamini
7 Kuthibitisha nakala za nyaraka
8 Kupata nakala za nyaraka
Ona Ukurasa Kamili
Washirika wetu
Wadau Wetu