RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
`
Usajili wa Watoto Kuasili
FRANK KANYUSI FRANK
Administrator General And Chief Executive Officer

Kuasili watoto ni mchakato wa kisheria ambao huhamisha uwajibikaji wa mzazi kutoka kwa wazazi wa kuzaliwa kwa mtoto kwenda kwa wazazi wao wa kuwalea.

Usajili wa kuasili watoto unasimamiwa na Sheria ya Kuasili Watoto (Sura ya 335 toleo la 2002).

Taratibu za kupata Cheti cha Kuasili.

  • Wasilisha nakala ya uamuzi kutoka Mahakama Kuu.
  • Wasilisha cheti cha Kuzaliwa cha Mtoto anayeasiliwa.
  • Lipa ada halisi kwa ajili ya cheti cha kuasili mtoto (ada ya sasa ni Tsh.100,000/).
Ona Ukurasa Kamili
Washirika wetu
Wadau Wetu