RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
`
Gharama za usajili
FRANK KANYUSI FRANK
Administrator General And Chief Executive Officer

BEI HUDUMA ZA USAJILI WA VIZAZI

NA

HUDUMA

ADA/GHARAMA

1

Ada ya Upekuzi

3,000

2

Kizazi kinachoandikishwa chini ya miaka kumi

8,000

3

Kizazi kinachoandikishwa baada ya miaka kumi

20,000

4

Kufanya masahihisho ya cheti cha kuzaliwa

13,000

5

Kupata nakala ya cheti kilichopotea

7,000

6

Uhakiki wa Cheti

6,000


BEI HUDUMA ZA USAJILI WA NDOA

 

NA

AINA YA HUDUMA 

ADA/GHARAMA (TZS)

1

Cheti cha Ndoa cha Msajili Mkuu wa Ndoa

40,000/=

2

Cheti cha Ndoa ambayo haijawahi

    kuandikishwa (Subsisting Marriage)

40,000/=

3

Cheti cha ndoa iliyofungwa nje ya

   nchi (Foreign Marriage)

200,000/=

4

Cheti cha Talaka

40,000/=

5

Cheti cha Talaka iliyotolewa nje ya nchi

200,000/=

6

Leseni ya kufunga ndoa mahali

maalum

200,000/=

7

Shahada ya kutokuwepo pingamizi

   (Certificate of No Impediment)

300,000/=

8

Barua ya kutokuoa/kutokuolewa

200,000/=

9

Uthibitisho wa Cheti cha Ndoa au

     Talaka

40,000/=

10

Ada ya upekuzi katika daftari la

      Ndoa/Talaka

50,000/=

11

Kuandikisha uthibitisho wa ndoa

    iliyobadilishwa kuwa ya mke mmoja

    au ya wake wengi

40,000/=

12

Marekebisho katika cheti cha ndoa

   na talaka

Ada ya Upekuzi

Ada ya Marekebisho

Ada ya Cheti cha Msajili wa ndoa na talaka

 

 

 

40,000/=

 

50,000/=

 

13

Leseni ya Kufungisha Ndoa

60,000/=

14

Ndoa ya haraka

200,000/=

 

15

Ada ya ruhusa ya kufungisha Ndoa

mahali maalum kwa mgonjwa

 

20,000/=

16

Ndoa ya Serikali ya kutangaza siku

21

 

100,000/=

17

 

 

Shahada ya ndoa zinazotolewa kwa

wasajili wa wilaya na viongozi wa

dini:-

Shahada 10

 

 

 

200,000/=

    

 BEI HUDUMA ZA USAJILI WA UDHAMINI

No.SERVICE DESCRIPTIONFEE/COST (Tanzanian Shillings)
1Taratibu za usajili wa muunganisho ya wadhamini200,000
- Idadi ya wadhamini inatakiwa kuwa kati ya 2-10
- Ada ya usajili wa bodi ya wadhamini Tshs
2Kubadilisha jina la Taasisi
- Wasilisha nakala ya mukhtasari wa kikao uliopita shwa na mkutano halali kwa mujibu wa Katiba na kuridhia mabadiliko ya Jina la Taasisi husika.
- Jaza Fomu T1.2 / T1.3
Mahitaji:
- Wasilisha cheti cha awali cha kusajiliwa kwa Taasisi
- Lipa Ada ya Uhakiki jina50,000
- Lipa Ada ya Mabadiliko50,000
3Mabadiliko ya Wadhamini, Katiba au anuani ya Posta
- Kufanya mabadiliko kati ya yaliotajwa hapo juu
- Jaza form T1.4/ T1.6/ T1.7
- Wasilisha nakala ya mukhtasari ilithibitishwa na mktan halali kwa mujibu wa katiba ulioridhia mabadiliko kati ya yaliotajwa hapo juu
- Ada ya Mabadiliko ya wadhamini50,000
- Ada ya mabadiliko ya katiba100,000
- Ada ya mabadiliko ya anuani ya posta50,000
4Kufaili Marejesho ya Wadhamini
- Wasilisha marejesho ya wadhamini kila mwaka
- Jaza Fomu T1.5
- Lipa Ada100,000
- Penalty/Adhabu kwa kuchelewa kuleta marejesho ya kila mwaka @Trustee per month10,000
5Upekuzi wa taarifa za wadhamini
- Wasilisha barua ya maombi ya upekuzi
- Lipa Ada100,000
- Jaza Fomu T1.7
6Kibali cha Kumiliki Ardhi
- Kupata Kibali cha Kumiliki Ardhi (Concent) Tsh.
- Ada ya kibali cha kumiliki mali kwa mali iliobwa zaidi ya mara moja Tshs100,000
- Ada ya kibali cha kumiliki ardhi60,000
7Kuthibitisha Nakala
- Wasilisha maombi
- Ada ya uthibitisho (kila nakala) "kwa barua/maombi"
- Nakala ya nyaraka yoyote Tshs
- Ada ya kutoa hati mpya60,000
- Ada ya uthibitisho (kila nakala)100,000
- Ada ya kutoa hati mpya100,000
Ona Ukurasa Kamili
Washirika wetu
Wadau Wetu